TUNA UZOEFU.
Tulipigana vita na Marekani na Washirika wake mwaka 1991,
Ilikuwa ni vita kweli!
Kwa hiyo tuna uzoefu, Tukapita salama, Tutapita salama,
Tutamshinda mvamizi yoyote yule,
(Lakini mtashindwa)
Bila shaka, hakuna, hakuna mtu yoyote yule anayeweza kufikiria kuwa kupigana vita baina yake na Marekani anaweza kushinda mgogoro huo kivita.
Lakini sisi, kisiasa tutashinda.
(Kwa vipi)
Kwa kuonesha kwamba wao wameshindwa kufanikisha malengo yao.
Watafanya uharibifu, watauwa.
Lakini hawatoweza kuharibu dhamira thabiti ya Raia wa Iraki.
(Mahojiano baina ya mtangazaji Stina Dabrowski na Tareq Aziz Issa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Waziri Mkuu wa Iraki mwaka 2002 muda mfupi kabla ya vita vya Ghuba vya II kuanza)
Tafsiri imefanywa na Adeladius Makwega.
0717649257
Post a Comment