Na Eliasa Ally Iringa.
MKURUGENZI wa Matukio Daima media Francis Godwin amekabidhi kiasi Cha Tsh 250,000 kwa uongozi wa Kijiji Cha Malagosi Wilaya ya Iringa kwa ajili ya kununua kipaza Sauti kwa ajili ya shughuli za kijamii kama misiba n.k kwenye Kijiji hicho ,Godwin amekabidhi fedha hizi Leo wakati wa mazishi ya mdau wa Matukio Daima Balbo Kikoti aliyezikwa Kijijini hapo
Mwanahabari Francis Gondwin ni miongoni mwa wanahabari wakongwe mmkoani Iringa ambaye kwa miaka mingi amekuwa karibu na jamii ya Iringa kwa ripoti zake zinazogusa maisha ya jamii na hasa watu wanyonge.
Post a Comment